Meta-Wiki - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Meta-Wiki
Meta-Wiki
ni
tovuti
ya
Wikimedia Foundation
na mahali muhimu pa kuendeleza na kusimamia miradi yote ya shirika hii.
Miradi kama
Wikipedia
Wiktionary
Wikiquote
Wikisource
Wikinews
Wikibooks
Wikiversity
au
Wikimedia Commons
hutumia programu ya pamoja inayozidi kuendelezwa.
Vile maswali ya kuanzisha miradi ya wiki kwa lugha mpya yanajadiliwa hapa. Kama jumuiya inayohariri wikipedia kwa lugha fulani imepatwa na fitina na inashindwa kupatana kati yao wasimamizi kwenye ngazi ya Meta-Wiki wanaweza kuingilia kati.
Vilevile wasimamizi wa Meta-Wiki wanaangalia kama haki za hatimiliki inaangaliwa katika matumizi ya picha. Ila mara nyingi wao hufanya kazi za kuratibu miradi yote ya Wiki, yaani, swala zima la kiufundi wao ndiyo wana uwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya miradi yote husika na Wikimedia.
Kiungo
hariri
hariri chanzo
Meta-Wiki
Rudishwa kutoka "
Jamii
Wikipedia
Meta-Wiki
Weka mada
US