Norwei - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kongeriket Norge
Kongeriket Noreg
Ufalme wa Unowe
Bendera
Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Alt for Norge ("Yote kwa Unowe" ni wito wa kifalme)
Kiapo kufuatana na katiba ya
1814
: "Enige og tro til
Dovre
faller" ("Pamoja na waaminifu hadi milima ya Dovre inaporomoka")
Wimbo wa taifa
Ja, vi elsker dette landet
Wimbo wa kifalme
Kongesangen
Mji mkuu
Oslo
59°56
N 10°41
Mji
mkubwa
nchini
Oslo
Lugha
rasmi
Kinowe
Bokmål
na
Nynorsk
Serikali
Mfalme
Waziri Mkuu
Ufalme wa kikatiba
Harald V
Jonas Gahr Støre
Katiba
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
Kutoka maungano na
Uswidi
7 Juni
1905
26 Oktoba
1905
Eneo
- Jumla
- Maji (%)
385,207
km
(ya 67
{{{percent_water}}}
Idadi ya watu
2026
kadirio
2013
sensa
- Msongamano wa watu
5,627,400
(ya 116)
5,136,700
14.6/km
(ya 213)
Fedha
Krone ya Unowe
NOK
Saa za eneo
- Kiangazi
DST
CET
UTC
+1)
CEST
UTC
+2)
Intaneti TLD
.no
Kodi ya simu
+47
Lugha rasmi ya Kinowe inapatikana kwa namna mbili:
bokmål
zaidi kama lugha ya kimaandishi na
Nynorsk
zaidi kama lugha ya majadiliano ingawa inaandikwa pia. Lugha ya
Kisami
ni lugha rasmi katika miji 6 na
Kifini
katika mji mmoja.
Unowe
(auː
Norwe
Norwei
; kwa
Kinorwei
Norge
Noreg
jina rasmi
ni
Ufalme wa Unowe
Kongeriket Norge
kwa
Bokmål
na
Kongeriket Noreg
kwa
Nynorsk
) ni nchi ya
Skandinavia
katika
Ulaya ya Kaskazini
Imepakana hasa na
Uswidi
, ila katika
ncha
ya
kaskazini
na
Ufini
na
Urusi
pia.
Ina
pwani
ndefu kwenye
Bahari ya Kaskazini
na ya
Atlantiki
Visiwa
vya
Svalbard
na
Jan Mayen
katika
bahari ya Aktiki
ni maeneo ya Norwei.
Pia visiwa visivyokaliwa na
watu
vya
Bouvet
katika Atlantiki ya kusini na
Peter I
katika
Pasifiki
ya kusini viko chini ya Unowe.
Nchi inadai pia sehemu ya
Queen Maud Land
katika
bara
la
Antaktika
penye kituo cha kisayansi cha
Troll
Mkuu wake kwa sasa ni
Mfalme Harald V
Bunge
huitwa
Stortinget
na wanachama wake huchaguliwa na wananchi kila baada ya miaka minne.
Sikukuu
ya
taifa
ni tarehe
17 Mei
, ambapo husherekewa
katiba
ya Unowe ya
mwaka
wa
1814
Miji
hariri
hariri chanzo
Mji mkuu
ni
Oslo
, wenye wakazi wanaozidi 530,000.
Miji
mingine mikubwa ni pamoja na
Bergen
wenye wakazi 230,000 na
Trondheim
wenye wakazi 150,000; yote miwili imewahi kuwa miji mikuu ya Unowe katika miaka ya mwanzoni.
Historia
hariri
hariri chanzo
Nchi ilikaliwa na
watu
wawindaji-wakusanyaji
tangu mwaka
10000 KK
hivi.
Katika miaka
3000
2500 KK
waliingia
wakulima
wa
Kizungu
Katika
karne ya 8
hadi
karne ya 10
Norwei ilipeleka
mabaharia
wake
Waviking
hadi mbali sana.
Kwa muda mrefu Norwei ilibaki katika
muungano
na
Udani
na
Uswidi
Ufalme umekuwa huru tangu mwaka wa
1905
Uchumi
hariri
hariri chanzo
Unowe ilikuwa
nchi maskini
ya
wakulima
na
wavuvi
, lakini tangu kupatikana kwa
mafuta
ya
petroli
baharini
imekuwa kati ya
nchi tajiri
kabisa duniani.
Watu
hariri
hariri chanzo
Takriban watu milioni 5.6 wanaishi nchini Unowe. Wengi wao (79.2
) ni Wanorwei asili,
jamii
ya
Wajerumani
Asilimia
20.8 ni
wahamiaji
au
watoto
wa wahamiaji wawili (hasa
Wapolandi
Walithuania
Wasomali
Wapakistani
na
Waswidi
). Wengi wao sasa wana
uraia
wa Norwei.
Dini
ya kwanza ni
Ukristo
(68.5%), hasa
madhehebu
ya
Kilutheri
(61.7%), halafu
Wakatoliki
(3.1%, hasa wenye
asili
ya
Polandi
). Hata hivyo wananchi wengi hawajali sana; wanaoshiriki
ibada
kila
wiki
ni 2% tu.
Katika dini nyingine, unaongoza
Uislamu
(3.4%) ulioletwa na
wahamiaji
kutoka nchi mbalimbali walioongezeka sana kuanzia miaka ya mwisho ya
karne ya 20
. 27.3% hawana dini yoyote.
Marejeo
hariri
hariri chanzo
"Population, 2026-01-01"
(kwa Kiingereza). Statistics Norway. 2026-02-25
. Iliwekwa mnamo
2026-02-26
"Trondheim - the official website"
. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 2009-06-08
. Iliwekwa mnamo
2009-09-04
Viungo vya Nje
hariri
hariri chanzo
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Norwei
Wikinews has related news:
Norway
OpenStreetMap
has geographic data related to:
Norwei
Norway.no
, Norway's official portal
Statistics Norway
State of the Environment Norway
State of the Environment Norway: About Norway
Ilihifadhiwa
13 Agosti 2011 kwenye
Wayback Machine
Norway
entry at
The World Factbook
Norway
entry at
Encyclopædia Britannica
Norway
Ilihifadhiwa
26 Januari 2016 kwenye
Wayback Machine
from
UCB Libraries GovPubs
Norway.info
, official foreign portal of the
Norwegian Ministry of Foreign Affairs
Wikimedia Atlas of Norway
VisitNorway.com
, official travel guide to Norway.
Norway travel guide
kutoka Wikisafiri
vifanord
– a digital library that provides scientific information on the Nordic and Baltic countries as well as the Baltic region as a whole.
Birdwatching Norway
Ilihifadhiwa
8 Desemba 2018 kwenye
Wayback Machine
National Anthem of Norway
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ulaya
bado ni
mbegu
Je unajua kitu kuhusu
Norwei
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
Ulaya
Nchi huru
Albania
Andorra
Armenia
Austria
Azerbaijan
Belarusi
Bosnia na Herzegovina
Bulgaria
Udeni
Estonia
Georgia
Hispania
Hungaria
Isilandi
Eire
Italia
Kazakhstan
Kroatia
Kupro
Latvia
Liechtenstein
Lituanya
Luxemburg
Malta
Masedonia Kaskazini
Moldova
Monako
Montenegro
Norwei
Polandi
Romania
San Marino
Serbia
Slovakia
Slovenia
Ubelgiji
Ucheki
Ufalme wa Muungano
Ufaransa
Ufini
Ugiriki
Uholanzi
Ujerumani
Ukraine
Ureno
Urusi
Uswidi
Uswisi
Uturuki
Nchi zisizokubaliwa
na umma wa kimataifa
Abkhazia
Kosovo
Kupro ya Kaskazini
Ossetia ya Kusini
Transnistria
Maeneo yanayojitawala
chini ya nchi nyingine
Akrotiri na Dhekelia
Åland
Azori
Faroe
Gibraltar
Guernsey
Jan Mayen
Jersey
Madeira
Man
Svalbard
nchi ya
Asia ya Magharibi
kijiografia ambayo huhesabiwa kuwa sehemu ya
Ulaya
kiutamaduni
nchi ya kimabara
Rudishwa kutoka "
Jamii
Mbegu za jiografia ya Ulaya
Norwei
Skandinavia
Nchi za Ulaya
Mkataba wa Schengen
Nchi
Norwei
Weka mada