Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Nenda kwa yaliyomo
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Latest comment:
miezi 7 iliyopita
by Muddyb in topic
🚀 Wikamusi Editathon Breaks Records in Dar es Salaam!
sw:
Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii. Viungo vya jumuia:
Wiktionary:Sanduku la mchanga
Wiktionary:Wakabidhi
Wiktionary:Makala kwa ufutaji
Wiktionary:Bots
en:
Requests for the
bot
flag should be made on
Wiktionary:Bots
. The
standard bot policy
is used on this wiki, with automatic approval of certain types of bots allowed and global bots allowed.
Ombi la kuwa mkabidhi
hariri
Hapa unaweza kufanya maombi yako ya kuwa mkabidhi katika Wikamusi hii.
Tafadhali kabla hujaandika jina lako katika orodha ya watu wanaotaka kuwa wakabidhi, unaombwa uangalie ukurasa wa:
Vigezo vya kuwa mkabidhi
Sera iliyopo ni ya kukubali cheo cha ukabidhi kwa kila mtu anayechangia mara kwa mara na akawa anafahamika na kuaminika katika moja ya wanachama au wanajumuia wa wikamusi hii. Watumiaji waliowengi huamini kwamba wakabidhi huwa wanafaa.
Kama unataka kuwa mkabidhi, tafadha andika jina lako katika orodha iliyopo hapo chini. Any user can comment on your request -- they might express reservations (because, for example, they suspect you will abuse your new-found powers, or if you've joined very recently), but hopefully they will approve and say lovely things about you.
If there is general agreement that someone who requests adminship should be given it, then a bureaucrat will make it so and record the fact here.
Hali ya mradi huu
hariri
Maoni ya hivi punde:
miaka 9 iliyopita
maoni 1
Mtu 1 anajadili
Baada ya kuna ombi la mchangiaji apewe ukabidhi nimeangalia mradi huu kwa mara ya kwanza tangu miaka kadhaa. Kwa jumla naona hali si nzuri. Watu walianza kupeleka maneno mengi kutoka lugha nyingine (kama maneno 560 ya Kiluhya (angalia Jamii:Kiluhya) , 85 ya Kiluo (angalia Jamii:Kiluo), mengine ya Kikikuyu, makala yasiyofaa kabisa kama
Amaq News Agency
, neno kutoka Kikurdi
dibistan
, naona
Wafrica
. Sina uhakika jumla ni namna gani. Sijui kama nicheke au nilie. Binafsi naona kazi yangu iko upande wa wikipedia, si hapa. Labda afadhali mradi uwekwe katika hali ya mapumziko hadi mtu anapatikana anayejua kazi na mwenye nia ya kuchungulia yaliyomo kwa jumla.
Kipala
majadiliano
13:08, 12 Novemba 2016 (UTC)
Reply
Takwimu ya Wikamusi ya Kiswahili
hariri
(chanzo:
Language
Language (local)
Wiki
Good
Total
Edits
Admins
Users
Images
Updated
46
Swahili
Kiswahili
sw
8327
10618
25317
411
2009-05-12 07:08:03
72
Swahili
Kiswahili
sw
13969
17065
123655
2398
2016-11-12 02:02:21
73
Swahili
Kiswahili
sw
13967
17055
127172
2617
2017-12-04 02:03:23
Hii itakuwa inabadilishwa mara kwa mara ili mradi wachangiaji wajue kiwango na ukubwa wa Wikamusi yao!
🚀 Wikamusi Editathon Breaks Records in Dar es Salaam!
hariri
Maoni ya hivi punde:
miezi 7 iliyopita
maoni 1
Mtu 1 anajadili
On
August 16, 2025
, something extraordinary happened at
Seed Space, Dar es Salaam
: over
31 passionate contributors
gathered for a Wikamusi editathon that would go on to make history.
Led by a shared mission to strengthen African language resources, participants received hands-on training in wiki tools, with a special focus on dictionary content creation. The energy was electric, and the results speak for themselves.
📈 From 15,926 to 23,150 Entries in Just Two Weeks!
At the start of the event, Wikamusi had
15,926 entries
. Today—just two weeks later—it boasts
23,150 entries
. That’s a staggering
7,224 new entries
, contributed in record time by a dedicated team of young editors.
“This is more than editing—it’s preserving our heritage,”
said one contributor.
🌟 Spotlight on Contributors
Special recognition goes to
user:Bycashtz
and
Tumaini Ruleju
, whose tireless efforts have set a new benchmark for collaborative editing. Their commitment to linguistic excellence and community empowerment is nothing short of inspiring.
🧩 Behind the Scenes
As the event coordinator, I ensured contributors received curated word lists to guide their input. This structure helped streamline efforts and maximize impact. The scale of contributions achieved in such a short time has never been witnessed before in the history of this Wikamusi.
📣 The Work Continues
The momentum is still strong. New contributors are joining, and the spirit of collaboration is thriving. If you’re passionate about African languages, digital knowledge, or community-driven projects—this is your moment.
Let’s keep building. Let’s keep documenting. Let’s keep celebrating our languages.
Muddyb
majadiliano
06:22, 28 Agosti 2025 (UTC)
Reply
Rudishwa kutoka "
Jamii
Jumuia
Msaada
Wiktionary
Jumuia
Weka mada
US