Wikamusi - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wiktionary
wiktionary.org
homepage
URL
Kaulimbiu
The Free Dictionary
Biashara?
hakuna
Aina ya tovuti
kamusi (matokeo ya Internet)
Usajili
lazima
Lugha zilizopo
lugha nyingi (170+)
Mmiliki
Wikimedia Foundation
Muumba
Jimmy Wales
Wikimedia
jamii
Viumbe
13 Desemba 2002
Alexa
rank
823
Sasa
hai
Wikamusi
(kutoka maneno ya
Kiingereza
"Wiki"
na
"dictionary"
kamusi)
ni mradi huria wa kuunda maudhui ya kamusi mtandaoni. Ina zaidi ya lugha 170. Imeandikwa kwa kushirikiana na wafanyakazi wa kujitolea, kuitwa "Wiktionarians", kwa kutumia programu ya wiki. Toleo la Kiswahili linapatikana
hapa
Ni mradi ndugu na
Wikipedia
, kamusi elezo huru inayoendeshwa na shirika la
Wikimedia Foundation
Marejeo
hariri
hariri chanzo
Alexa rank
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni
mbegu
Je, unajua kitu kuhusu
Wikamusi
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
Rudishwa kutoka "
Jamii
Mbegu za elimu
Wikimedia
Wikamusi
Weka mada
US