Intaneti - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Picha ya njia mbalimbali katika sehemu ya intaneti. Intaneti (kutoka Kiingereza Internet ) ni mfumo wa kushirikiana kwa tarakilishi nyingi unaowezesha watu mbalimbali duniani kuwasilian…