Wikipedia
Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karibu kwenye
Wikipedia
kamusi elezo huru
, kila
mtu anaweza kuihariri
Hadi leo tuna makala takriban
109,067
kwa
Kiswahili
Je unapenda kuona Wikipedia yetu kama kitabu?
Bofya hapa
Biografia
Dini
Hisabati
Historia
Jiografia
Jamii
Jumuiya
Lugha
Sanaa
Sayansi
Teknolojia
Tiba
Ujenzi
Kamusi Elezo ya Kiswahili
Karibu kwenye Wikipedia ya Kiswahili!
Wikipedia
ni mradi wa kuandika
kamusi elezo
kamili na sahihi ya maandishi huru.
Kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote, kutoa makosa ya lugha, kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala, kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu. Tunakushauri ujiandikishe na
kufungua akaunti
. Angalia
Wikipedia:Mwongozo
ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa. Usisite kushiriki; kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano, na hautaisha kamwe. Kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati. Angalia
ukurasa wa jumuia
ukurasa wa jamii
, na ule wa
makala za msingi za kamusi elezo
ili kung'amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha Wikipedia.
Je, wajua...
Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:
... kwamba
Hifadhi ya Ngorongoro
imepokewa katika orodha ya
urithi wa dunia
ya
UNESCO
... kwamba
Asha-Rose Mtengeti Migiro
ni
mwanasiasa
wa kwanza kutoka nchini
Tanzania
aliyepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa
... kwamba
eneo la
Afrika ya Mashariki
ndilo ambalo lina uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika bara la Afrika!
... kwamba
Samia Hassan Suluhu
ni
rais
wa kwanza
mwanamke
Afrika ya Mashariki
? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya
kifo
cha mtangulizi wake,
John Pombe Magufuli
Hifadhi
Jifunze kuanzisha makala
Teua makala
Makala ya wiki
Papa Yohane Paulo II
(kwa
Kilatini
Ioannes Paulus PP. II
; kwa
Kiitalia
Giovanni Paolo II
; kwa
Kipolandi
Jan Paweł II
; kwa
Kiingereza
John Paul II
18 Mei
1920
2 Aprili
2005
) alikuwa Papa wa 264 kuanzia tarehe 16 Oktoba 1978 hadi kifo chake akidumu katika huduma hiyo kirefu kuliko Mapapa wengine wote, isipokuwa Mtume Petro na Papa Pius IX. Alitokea
Wadowice
Krakow
Polandi
Alimfuata Papa Yohane Paulo I akiwa Papa wa kwanza asiye Mwitalia tangu miaka 455 iliyopita, wakati wa Mholanzi Papa Adrian VI (1522 - 1523), tena Papa wa kwanza kutoka Polandi (na makabila yoyote ya Waslavi) katika historia ya Kanisa. Alifuatwa na Papa Benedikto XVI.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Karol Józef Wojtyła (matamshi: ˈkarɔl ˈjuzɛf vɔiˈtɨwa).
Wengi wanamhesabu kati ya watu walioathiri zaidi karne ya 20, hasa kwa sababu tangu mwanzo wa Upapa wake alipambana na Ukomunisti uliotesa nchi yake asili na nyinginezo, akachangia kwa kiasi kikubwa kikomo chake na kusambaratika kwa Urusi.
Vilevile alilaumu ubepari wa nchi za magharibi na kudai haki katika jamii zote, akitetea hasa uhai wa binadamu na uhuru wa dini.
Upande wa dini, aliboresha uhusiano kati ya Kanisa Katoliki na madhehebu mengine ya Ukristo[11] pamoja na ule na dini mbalimbali, kuanzia Uyahudi, Ubudha, Uislamu.
Ziara zake 104 kati nchi 129 ulimwenguni kote, mbali na 146 nchini Italia na 317 katika parokia za Roma, zilikusanya mara nyingi umati mkubwa (hadi zaidi ya milioni 4 huko Manila, Ufilipino, mwishoni mwa siku ya kimataifa ya vijana), na kumfanya asafiri kuliko jumla ya mapapa wote waliomtangulia, akiwa mmojawapo kati ya viongozi wa dunia waliosafiri zaidi.
Papa Wojtyła alitangaza wenye heri 1,340 na watakatifu 483, ili kuwapa Wakristo wa leo vielelezo mbalimbali kwa maisha yao ili walenge utakatifu walioitiwa na Mungu. Idadi hiyo ni kubwa kuliko ile ya waliotangazwa na jumla ya Mapapa wote waliomtangulia walau katika karne tano za mwisho.
Alikuwa anaongea lugha mbalimbali, zikiwemo za Kipolandi, Kiitalia, Kifaransa, Kijerumani, Kiingereza, Kihispania, Kireno, Kiukraina, Kirusi, Kiserbokroatia, Kiesperanto, Kilatini na Kigiriki cha kale.
Yohane Paulo II alitangazwa na mwandamizi wake Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 1 Mei 2011, halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 27 Aprili 2014.
Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Oktoba[26], kulingana na siku ya kuanza rasmi huduma yake ya Kipapa kwa Misa iliyofanyika katika uwanja mbele ya Basilika la Mt. Petro,
Vatikani
►Soma zaidi
Picha nzuri ya wiki
Ziara ya Mwalimu Nyerere wa Tanzania mnamo Machi 12, 1985; Rais Nyerere akisikiliza maswali.
Julius Nyerere
(Butiama, 13 Aprili 1922 - London, 14 Oktoba 1999) alikuwa Rais wa kwanza wa Tanzania na Baba wa Taifa. Aliongoza Tanganyika tangu uhuru mwaka 1961 kama Waziri Mkuu, kisha baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, aliongoza Tanzania kama Rais hadi 1985. Aliunda
sera ya Ujamaa na Kujitegemea
ambayo iliweka msisitizo kwenye usawa wa kijamii, elimu kwa wote na umoja wa kitaifa. Baada ya kustaafu urais, aliendelea kuishi kwa kuendeleza shughuli za kijamii na kilimo, na alifariki dunia kutokana na saratani ya damu tarehe 14 Oktoba 1999 akiwa London, na kuzikwa Butiama. Je ungependa kusoma zaidi kuhusu Mtu huyu? au ungependa kuchangia zaidi kuhusu mtu huyu? fungua
Hapa
Takwimu ya Wikipedia ya Kiswahili
Idadi ya makala:
109,067
Idadi ya kurasa zote:
216,170
(pamoja na kurasa za watumiaji, majadiliano, msaada n.k.)
Idadi ya hariri:
1,500,179
Idadi ya watumiaji waliojiandikisha:
87,498
Idadi ya
wakabidhi
14
Idadi ya watumiaji hai:
236
(Watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita)
Bofya hapa kwa kupata namba za sasa
Takwimu ya WIkipedia ya Kiswahili kwa jumla
Katika
mwezi wa Agosti 2025
wikipedia ya Kiswahili iliangaliwa mara milioni 7.79 hivi, ambayo ni sawa na mara 251,607 kwa siku au mara 10,483 kila saa ambalo ni ongezeko la mara 4.5 ukilinganisha na mwaka 2024 mwezi wa Agosti. Asilimia 52 za wasomaji wetu wako Tanzania, asilimia 13 wako Kenya, asilimia 18 wako Marekani na mnamo asilimia 10 wako Ulaya.
Angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali
hapa kwenye takwimu za makala
(fungua anwani kwa browser yako, ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala (hadi makala 10) unayopenda. Unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona; takwimu kabla ya 2015
hapa
na makala 100 zilizotazamiwa zaidi
"Topviews"
kwa kipindi fulani.
(unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku)
Michango ya wanawiki:
angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa Wikimedia
andika jina la mtumiaji kwenye sanduku
Jumuia za Wikimedia
Kamusi elezo ya Wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini ya
Shirika Lisilo la Kiserikali
la
Wikimedia Foundation
, ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini. Mpaka sasa miradi inayopatikana Kiswahili ni Wikipedia na Wikamusi. Wikitabu imewekwa Kiswahili lakini bado ni tupu. Mengine inapatikana Kiingereza pamoja na lugha tofauti.
Commons
Ghala ya Nyaraka za Picha na Sauti
Meta-Wiki
Uratibu wa Miradi yote ya Wikimedia
Wikamusi
Kamusi na Tesauri
Wikitabu
Vitabu vya bure na Miongozo ya Kufundishia
Wikidondoo
Mkusanyiko wa Nukuu Huria
Wikichanzo
(Wikisource)
Matini za vyanzo asilia kwa Kiswahili
Wikispishi
Kamusi ya Spishi
Wikichuo
Jumuia ya elimu
Wikihabari
Habari Huru na Bure
Wikipedia kwa lugha nyingine
Wikipedia kwa lugha nyingine
Wikipedia ipo katika lugha zaidi ya 340. Bofya hapa kuona orodha kamili ya
lugha zote za Wikipedia
Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya
1,000,000
Kiarabu cha Misri
(Kijerumani)
(Kiingereza)
(Kihispania)
(Kifaransa)
Italiano
(Kiitalia)
(Kijapani)
Nederlands
(Kiholanzi)
Polski
(Kipolishi)
Português
(Kireno)
Русский (Kirusi)
Svenska
(Kiswidi)
Українська (Kiukraina)
Tiếng Việt
(Kivietinamu)
中文 (Kichina)
Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya
500,000
Català (Kikatalunya)
Česky (Kicheki)
Bahasa Indonesia (Kiindonesia)
Suomi (Kifini)
Magyar (Kihungaria)
Norsk bokmål (Kinorway)
Română (Kiromania)
Türkçe (Kituruki)
Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya
250,000
Dansk (Kidenmark)
Esperanto (Kiesperanto)
Slovenčina (Kislovakia)
Baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya
100,000
Afrikaans (Kiafrikana)
Malagasy (Kimalagasi)
Swahili (Kiswahili)
Baadhi ya lugha nyingine za Afrika:
አማርኛ
Bamanankan
Chi-Chewa
chiShona
chiTumbuka
Ɛʋɛ
Fulfude
Gĩkũyũ
Hausa
Ìgbo
isiXhosa
isiZulu
Taqbaylit
Kikongo
Kinyarwanda
Kirundi
Lingala
Luganda
Oromoo
Oshiwambo
Sängö
seSotho
Setswana
SiSwati
Soomaaliga
ትግርኛ
Tshivenda
Twi
Wolof
Xitsonga
Yorùbá
Jinsi ya kuanzisha Wikipedia kwa lugha mpya
Rudishwa kutoka "
Jamii
Makala ya wiki
Lugha 347
Аԥсшәа
abstract:Abstract Wikipedia:Main page
Acèh
Адыгабзэ
Afrikaans
Alemannisch
Алтай тил
አማርኛ
Pangcah
Aragonés
Ænglisc
Obolo
अंगिका
العربية
ܐܪܡܝܐ
الدارجة
مصرى
অসমীয়া
Asturianu
Atikamekw
Авар
Kotava
अवधी
Aymar aru
Azərbaycanca
تۆرکجه
Башҡортса
Basa Bali
Boarisch
Žemaitėška
Batak Toba
Bikol Central
Bajau Sama
Беларуская (тарашкевіца)
Беларуская
Betawi
Български
भोजपुरी
Bislama
Banjar
ပအိုဝ်ႏဘာႏသာႏ
Bamanankan
বাংলা
བོད་ཡིག
বিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরী
Brezhoneg
Bosanski
Batak Mandailing
Basa Ugi
Буряад
Català
Chavacano de Zamboanga
閩東語 / Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄
Нохчийн
Cebuano
Chamoru
ᏣᎳᎩ
Tsetsêhestâhese
کوردی
Corsu
Nēhiyawēwin / ᓀᐦᐃᔭᐍᐏᐣ
Qırımtatarca
Čeština
Kaszëbsczi
Словѣньскъ / ⰔⰎⰑⰂⰡⰐⰠⰔⰍⰟ
Чӑвашла
Cymraeg
Dansk
Dagbanli
Dagaare
Thuɔŋjäŋ
Zazaki
Dolnoserbski
Kadazandusun
डोटेली
ދިވެހިބަސް
ཇོང་ཁ
Eʋegbe
Ελληνικά
Emiliàn e rumagnòl
Esperanto
Eesti
Euskara
Estremeñu
فارسی
Mfantse
Fulfulde
Suomi
Võro
Na Vosa Vakaviti
Føroyskt
Fɔ̀ngbè
Arpetan
Nordfriisk
Furlan
Frysk
Gaeilge
Gagauz
贛語
Kriyòl gwiyannen
Gàidhlig
Galego
گیلکی
Avañe'ẽ
गोंयची कोंकणी / Gõychi Konknni
Bahasa Hulontalo
𐌲𐌿𐍄𐌹𐍃𐌺
Ghanaian Pidgin
ગુજરાતી
Wayuunaiki
Farefare
Gungbe
Gaelg
Hausa
客家語 / Hak-kâ-ngî
Hawaiʻi
עברית
हिन्दी
Fiji Hindi
Hrvatski
Hornjoserbsce
Kreyòl ayisyen
Magyar
Հայերեն
Արեւմտահայերէն
Interlingua
Jaku Iban
Bahasa Indonesia
Interlingue
Igbo
Igala
Iñupiatun
Ilokano
ГӀалгӀай
Ido
Íslenska
Italiano
ᐃᓄᒃᑎᑐᑦ / inuktitut
Patois
La .lojban.
Jawa
ქართული
Qaraqalpaqsha
Taqbaylit
Karai-karai
Jju
Адыгэбзэ
Kabɩyɛ
Tyap
Kongo
Kumoring
Gĩkũyũ
Қазақша
Kalaallisut
ភាសាខ្មែរ
ಕನ್ನಡ
Yerwa Kanuri
한국어
Перем коми
Къарачай-малкъар
کٲشُر
Ripoarisch
Kurdî
Kʋsaal
Коми
Kernowek
Кыргызча
Latina
Ladino
Lëtzebuergesch
Лакку
Лезги
Lingua Franca Nova
Luganda
Limburgs
Ligure
Ladin
Lombard
Lingála
ລາວ
Lietuvių
Latgaļu
Latviešu
Madhurâ
मैथिली
Basa Banyumasan
Мокшень
Malagasy
Олык марий
Māori
Minangkabau
Македонски
മലയാളം
Монгол
ꯃꯤꯇꯩ ꯂꯣꯟ
ဘာသာမန်
Moore
मराठी
Кырык мары
Bahasa Melayu
Malti
Mirandés
မြန်မာဘာသာ
Эрзянь
مازِرونی
Nāhuatl
Napulitano
Nedersaksies
Plattdüütsch
नेपाली
नेपाल भाषा
Li Niha
Nederlands
Norsk nynorsk
Norsk bokmål
Novial
ߒߞߏ
IsiNdebele seSewula
Nouormand
Sesotho sa Leboa
Nupe
Diné bizaad
Chi-Chewa
Occitan
Livvinkarjala
Oromoo
ଓଡ଼ିଆ
Ирон
ਪੰਜਾਬੀ
Pangasinan
Kapampangan
Papiamentu
Picard
Naijá
Deitsch
Pälzisch
पालि
Polski
Piemontèis
پنجابی
Ποντιακά
Nawat
پښتو
Português
Pinayuanan
Runa Simi
ရခိုင်
Rumantsch
Romani čhib
Ikirundi
Română
Armãneashti
Tarandíne
Руски
Русский
Русиньскый
Ikinyarwanda
संस्कृतम्
Саха тыла
ᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤ
Sardu
Sicilianu
Scots
سنڌي
Davvisámegiella
Sängö
Srpskohrvatski / српскохрватски
Taclḥit
တႆး
සිංහල
Simple English
Slovenčina
سرائیکی
Slovenščina
Gagana Samoa
Anarâškielâ
ChiShona
Soomaaliga
Shqip
Српски / srpski
Sranantongo
SiSwati
Sesotho
Seeltersk
Sunda
Svenska
ꠍꠤꠟꠐꠤ
Ślůnski
Sakizaya
தமிழ்
Tayal
ತುಳು
ᥖᥭᥰ ᥖᥬᥲ ᥑᥨᥒᥰ
తెలుగు
Tetun
Тоҷикӣ
ไทย
ትግርኛ
ትግሬ
Türkmençe
Tagalog
Tolışi
Setswana
Lea faka-Tonga
Toki pona
Tok Pisin
Türkçe
Seediq
Xitsonga
Татарча / tatarça
ChiTumbuka
Twi
Reo tahiti
Тыва дыл
Удмурт
ئۇيغۇرچە / Uyghurche
Українська
اردو
Oʻzbekcha / ўзбекча
Tshivenda
Vèneto
Vepsän kel’
Tiếng Việt
West-Vlams
Volapük
Walon
Winaray
Wolof
吴语
Хальмг
IsiXhosa
მარგალური
ייִדיש
Yorùbá
Vahcuengh
Zeêuws
ⵜⴰⵎⴰⵣⵉⵖⵜ ⵜⴰⵏⴰⵡⴰⵢⵜ
文言
閩南語 / Bân-lâm-gí
粵語
中文
IsiZulu
Hariri viungo
Mwanzo
Weka mada
US