Wikipedia:Istilahi za wiki - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa yaliyomo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
CH
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
Jamii
(Category)
Jamii ni mkusanyiko wa makala zote zinazohusika na kichwa fulani, pamoja na vijamii vyake; kwa mfano
Jamii:Nchi za Afrika
. Majina ya jamii zote ambazo ukurasa umewekewa ndani zao yameandikwa mwishoni mwa ukurasa. Kichwa cha jamii zote ni
Jamii:Jamii Kuu
. Unaweza kutafuta jamii fulani kwa kuingiza
Jamii:jina linalotafutwa
ndani ya sanduku la kutafuta.
Maelezo mengine yanapatikana
hapa
hariri chanzo
Kijamii
(Subcategory)
Kuna jamii moja tu,
Jamii:Jamii Kuu
, ambaye si sehemu ya jamii nyingine. Jamii zote zinazoonekana kwenye orodha ya vijamii kwenye ukurasa wa jamii nyingine ni vijamii vyake.
hariri chanzo
hariri chanzo
Mkabidhi
(Admin, sysop)
Mkabidhi ni mtumiaji anayepewa majukumu kadhaa ya kutunza wiki. Anaweza kufuta kurasa, kulinda kurasa na kuzuia watumiaji wanaofanya fujo. Wezo za wakabidhi zinaelezwa katika
"Wezo za kundi za watumiaji"
Mtumiaji
(User)
Mtu anayeandika katika wiki hii au anayefanya kitu chochote katika wiki. Wakati mwyingine mtumiaji anaitwa mhariri. Wezo za watumiaji zinaelezwa katika
"Wezo za kundi za watumiaji"
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
hariri chanzo
Rudishwa kutoka "
Jamii
Msaada
Wikipedia
Istilahi za wiki
Weka mada
US