Vijasumu - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Vijasumu (kutoka Kiyunani βακτήριον, baktērion, yaani "kifimbo", kutokana na umbo la vijasumu vya kwanza kugundulika; pia: bakteria ) ni viumbehai wadogo sana aina ya vidubini Mwili wa …